HIVI NDIVYO JAGUAR ALIVYO MJIBU MSANII IYANYA WA NIGERIA BAADA YA KUAMBIWA MVIVU.

Hii ni ushahidi tosha kuwa beef kati ya  Jaguar na Iyanya haijaisha, ndio kwanza inaanza, Beef ilianza wakati Jaguar anafanya....
remix ya wimbo wake wa One Centimetre na Iyanya.
Jaguar alisema Iyanya hana heshima kwa wasanii wa Kenya , Iyanya akajibu kuwa Jaguar ni msanii mvivu  na kwamba hayuko tayari kutangaza kazi yake Nchini Nigeria.
Jaguar ajibu tuhuma za uvivu Hivi.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...