MUME WA SHAMSA FORD AMEANZA KUMPOST SIWEMA ALIYEKUWA MPENZI WA NEY WA MITEGO.
Magazeti, Blogs na vituo vya radio vimeripoti mara kadha tetesi za
mapenzi ya mastaa Nay wa Mitego na Shamsa Ford wa bongo movie baada ya
picha kadha za Shamsa akiwa nyumbani kwa Nay Wa Mitego kusamba. Stori
hii ilivuma zaidi baada ya picha ya busu la Nay Wa Mitego na Shamsa
kuwekwa
mtandaoni na Diamond huku Shamsa akisema ni filamu inakuja.
Hivi karibuni mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.
mtandaoni na Diamond huku Shamsa akisema ni filamu inakuja.
Hivi karibuni mume wa Shamsa ametumia kurasa yake ya Instagram kumpa sifa aliyekuwa mpenzi wa Nay Wa Mitego, Siwema.

0 comments: